ONIMAS ni program inayochanganua,kuendesha na kumpa mwongozo mfanya biashara katika shughuli zake za kibiashara.
Ni kwa biashara ndogondogo(Rejareja) na za maduka ya jumla,
Kwa kutumia ONIMAS mfanya biashara anaweza kujua mzunguko wa fedha, bidhaa, faida iliyopatikana kwa kila bidhaa akiwa mahali popote mfano nje ya eneo la biashara,nje ya mkoa au nje ya nchi. Pia unaweza kutumia bila mtandao(offline)
30 Days Free Trial - Full Features - The Current Version is ONIMAS V15.7
Nilifurahia ONIMAS nilipokwa China, kwani niliweza kufahamu kila kilichoendelea Dukani. Nilijihisi kama vile bado nipo Mbeya, niliweza kuseti na kuona kila kitu. Big up Sana ONIMAS.
HANN’S STATIONARY – MBEYA
Kwakweli siwezi kudanganya, nimekuwa na nidhamu ya hela, kwani kabla hata ya kuuza mzigo ninaweza kujua nitapata faida shilingi ngapi, naweza kujua faida halisi baada ya matumizi yangu. Lakini pia imenisaidia sana kujua thamani halisi ya mali na stock yangu.
SHITINDI MIN MARKET – DODOMA
Naipenda sana ONIMAS, kutuwekea lugha ya Kiswahili hapo mmecheza sana, maana pale kwangu mtu yeyote anaweza kutumia bila wasiwasi wowote. Kitu kingine pia ni jinsi inavyokukosoa au kukukumbusha yenyewe pale unapokosea. Ila pia bei yake inabebeka, mtauza sana.
EMMANUEL SWAI - MWANZA
Support itaendelea kuifanya biashara yenu iwe salama, Nawapenda kwa sababu mpo vizuri kwenye support. Mwanzoni sikuvutiwa na mambo ya software baada ya kuona jamaa yangu mmoja hapa Kariakoo, ametoa pesa kubwa kwa Mkenya na system haitumii ati mpaka aje yeye na amlipie gharama zote. Nilipokwama wakati natumia trial, niliona uwepo wenu.
FANICOM OIL – KARIAKOO DAR
GHARAMA
Gharama zetu zinategemea aina ya matumizi yako (Package). Mfano kama unatumia ONLINE au OFFLINE, Idadi ya miradi (yaani maduka), idadi ya bidhaa yaan stock size (kwa online) na pia idadi ya kompyuta unazotumia.Hapa chini tumekuwekea aina tatu za package na gharama zake za chini (Minimum cost)
KOMPYUTA MOJA (Stand-alone)
a. Onimas annual fee 60,000/= per shop/per pc. (Each year)
b. Initial setup cost (Installatin + 3days of training + file + data entry) (Paid Once)
c. Network is not required
ZAIDI YA KOMPYUTA MOJA KWA ENEO HILOHILO (Local Area Network)
a. Onimas annual fee 60,000/= per shop/per pc. (Each year)
b. Initial setup cost as above in 1.(b) + server configaration cost Paid Once
c. Networking cost (If not yet done) will include the devices to be used plus the services. Eg of devices are UTP Cables and wireless adapter for desktops to access the wireless.
ZAIDI YA KOMPYUTA MOJA KWA MAENEO TOFAUTI (Wide Area Network)
a. Onimas annual fee 60,000/= per shop/per pc. (Each year)
b. Internet connection is required. The cost for internet will include the internet bundles, devices like modems, etc. (will depend on the type of Internet connection)
c. Then you can choose,
i. Either to use Computer (present in the shop) to be used as the server so that any eligible user outside the place, City, etc can access it.
a). The router or modem router that supports ports forwarding is required.
b). The router should have a static public IP Address.
c). Initial Setup cost as above in 1.(b)+ server configaration cost(Once).
d). Network cost for local Computers (If not yet done).
ii. Or use our datacenter so that we can host data for you.
a). Initial Setup cost as above in 1.(b)+ server configaration cost(Once).
b). Data storage (Database hosting) minimum 150,000/=(Each year)