Karibu ONIMAS Shopifier

ONIMAS ni program inayochanganua,kuendesha na kumpa mwongozo mfanya biashara katika shughuli zake za kibiashara

Download

ON/OFFLINE INVENTORY MANAGEMENT SOFTWARE

Download

ONIMAS ni program inayochanganua,kuendesha na kumpa mwongozo mfanya biashara katika shughuli zake za kibiashara.

Ni kwa biashara ndogondogo(Rejareja) na za maduka ya jumla, Kwa kutumia ONIMAS mfanya biashara anaweza kujua mzunguko wa fedha, bidhaa, faida iliyopatikana kwa kila bidhaa akiwa mahali popote mfano nje ya eneo la biashara,nje ya mkoa au nje ya nchi. Pia unaweza kutumia bila mtandao(offline)

30 Days Free Trial - Full Features - The Current Version is ONIMAS V15.7

Download Now!

BAADHI YA KAZI ZA ONIMAS

MAUZO Inatengeneza Orders, Invoices, Ripoti muhimu, Ni rahisi kurekodi

MANUNUZI Kuwa na rekodi zako zote za manunuzi na itakuonesha faida inayotegemewa

WASHIKA DAU Utakuwa na taarifa za wateja wako, wasambazaji pamoja na wafanyakazi.

BENKI Kurekodi miamala ya kibenki na ya simu na kuonesha balansi!

VITEGA UCHUMI Utaweza kusajili miradi yako yote. Mfano duka, stoo, mradi wa magari, n.k

MIZANIA Kuona uhalisia wako kibiashara, nini nadaiwa, unadai na nini cha kwako.

KUMBUKUMBU Kwa hapa unarekodi matukio mbalimbali yanayofanyika.

MADENI Utakuwa na rekodi za unaoadai, wanaokudai na ripoti za malipo ya madeni.

MAPATO NA MATUMIZI Utaweza kurekodi gharama za ziada kama chakula, usafiri, mishahara, n.k

FAIDA NA HASARA Utaweza kupata taarifa za faida na hasara aidha kwa kila bidhaa au bidhaa zote.

BIDHAA Utaweza kusajili bidhaa zako zote, kuona BIN KADI na Stock za kila siku.

Video za UPDATES (Nyongeza na maboresho ya system)

Kama ni mara yako ya kwanza ni bora uangalie video za maelezo na Training hapo chini, ndo baadae utaelewa kuhusu updates

Video za maelezo na Training

Hizi video zimetengwa kwa namba, zinaelezea kuhusu jinsi ya kuitumia ONIMAS. Ni vyema wakati unaziangalia uzifatishe kwa namba

Download free Trial version

Download now!
Nilifurahia ONIMAS nilipokwa China, kwani niliweza kufahamu kila kilichoendelea Dukani. Nilijihisi kama vile bado nipo Mbeya, niliweza kuseti na kuona kila kitu. Big up Sana ONIMAS.
HANN’S STATIONARY – MBEYA
Kwakweli siwezi kudanganya, nimekuwa na nidhamu ya hela, kwani kabla hata ya kuuza mzigo ninaweza kujua nitapata faida shilingi ngapi, naweza kujua faida halisi baada ya matumizi yangu. Lakini pia imenisaidia sana kujua thamani halisi ya mali na stock yangu.
SHITINDI MIN MARKET – DODOMA
Naipenda sana ONIMAS, kutuwekea lugha ya Kiswahili hapo mmecheza sana, maana pale kwangu mtu yeyote anaweza kutumia bila wasiwasi wowote. Kitu kingine pia ni jinsi inavyokukosoa au kukukumbusha yenyewe pale unapokosea. Ila pia bei yake inabebeka, mtauza sana.
EMMANUEL SWAI - MWANZA
Support itaendelea kuifanya biashara yenu iwe salama, Nawapenda kwa sababu mpo vizuri kwenye support. Mwanzoni sikuvutiwa na mambo ya software baada ya kuona jamaa yangu mmoja hapa Kariakoo, ametoa pesa kubwa kwa Mkenya na system haitumii ati mpaka aje yeye na amlipie gharama zote. Nilipokwama wakati natumia trial, niliona uwepo wenu.
FANICOM OIL – KARIAKOO DAR

GHARAMA Gharama zetu zinategemea aina ya matumizi yako (Package). Mfano kama unatumia ONLINE au OFFLINE, Idadi ya miradi (yaani maduka), idadi ya bidhaa yaan stock size (kwa online) na pia idadi ya kompyuta unazotumia. Hapa chini tumekuwekea aina tatu za package na gharama zake za chini (Minimum cost)

KOMPYUTA MOJA
(Stand-alone)

 • a. Onimas annual fee 60,000/= per shop/per pc.
  (Each year)
 • b. Initial setup cost (Installatin + 3days of training + file + data entry) (Paid Once)
 • c. Network is not requiredZAIDI YA KOMPYUTA MOJA KWA MAENEO TOFAUTI
(Wide Area Network)

 • a. Onimas annual fee 60,000/= per shop/per pc.
  (Each year)
 • b. Internet connection is required. The cost for internet will include the internet bundles, devices like modems, etc. (will depend on the type of Internet connection)
 • c. Then you can choose,
 • i. Either to use Computer (present in the shop) to be used as the server so that any eligible user outside the place, City, etc can access it.
 • a). The router or modem router that supports ports forwarding is required.
 • b). The router should have a static public IP Address.
 • c). Initial Setup cost as above in 1.(b)+ server configaration cost(Once).
 • d). Network cost for local Computers (If not yet done).
 • ii. Or use our datacenter so that we can host data for you.
 • a). Initial Setup cost as above in 1.(b)+ server configaration cost(Once).
 • b). Data storage (Database hosting) minimum 150,000/=(Each year)

ONIMAS TECHNICAL SUPPORT OFFERINGS (PLANS)

VIEW HERE

Fomu ya mawasiliano

Tafadhali jaza fomu hapo chini ili kuweza kuwasiliana nasi na kuweza kutoa maoni yako.

Sokoine Stadium,
Opp. Coffee Garden,
MbeyaTanzania

Mob 1: +255 788 049 973
Mob 2: +255 755 474 852
Mob 3: +255 653 742 092
Email:director@jfp.co.tz
Email: support@jfp.co.tz


Developed By, JFP TECHNOLOGIES CO. LTD

Visit now!